Y

YouLibs

Remove Touch Overlay

Maua Sama - ZAI (Official Audio)

Duration: 03:33Views: 251.8KLikes: 5.4KDate Created: Sep, 2021

Channel: Maua Sama

Category: Music

Tags: awaymziikiaway maua samawivu maua samanandygaidimaua samawizkidkenyamama samiamauayoung lunya and maua samasamamaua sama - zaiyoung lunyamaua sama new songmaua sama latestaway young lunyakigogoburna boytanzaniamaua sama main chickzailunyamboweyoung lunya songsmaua sama songskibatalamaua sama videomaua sama zaichademadiamond platnumzzuchualikibamaua sama wivumaua sama ft young lunya - away

Description: Song: ZAI Artists: Maua Sama #MauaSama #ZAI #Mziiki Stream/Download ZAI: smartklix.com/Zai Follow Maua Sama: instagram.com/mauasama twitter.com/MauaSama facebook.com/MauaSamaOfficial ZAI Lyrics So why unatembeza mboko vitu unavyofanya usifanye in front of my eyes Unaleta mkorogo why you de keep on telling me lies Si halali kibudu we hubagui cheupe chekundu Zai najua Ndio sababu Kwenye penzi langu nipate Tabu Zai mwache mume nakuomba Zai kweli Mungu anakuona Zai maji kinuni waponda Wallah moyo unanisonona Oya Duku limekwama Hee nabado nampenda Ooya mwache Zai kwanza hey Au bado unampenda? What do you want me to do? Me I go die for you Sema lolote I go do Baby as long as I’m with you Chorus Zaiii zainabu wewe “ooh mume wangu me nampenda sana” Zai Zai Zainabu wewe (You de break my heart oh break my heart) Zai Zainabu wewe (ooh Zainab wewee) Zai Zai Zainabu wewe (You de break my heart breaks my heart) 2nd Verse Why why ohh why why why You denying deny deny by ny Oh, my amekupa nini Zai Au penzi sikupi ukaridhika aaah Ladha imekwisha sio tamu Hata nkupe nikibinuka juu Au Kidani chake dhahabu yeeah Yeaah heyy Unajua I can’t leave without you Ubadilike I go wait for you Nafasi nyingine say I do yeahhh heyy!! Zai mwache mume nakuomba Zai kweli Mungu anakuona Zai maji kinuni waponda Wallah moyo unanisonona Oya Duku limekwama Hee nabado nampenda Ooya mwache Zai kwanza hey Au bado unampenda? What do you want me to do? Me I go die for you Sema lolote I go do Baby as long as I’m with you Chorus Zaiii zainabu wewe (ooh mume wangu me nampenda sana ) Zai zai zainabu wewe (You de break my heart oh break my heart) Zai zainabu wewe (ooh zainab wewee) Zai zai zainabu wewe (You de break my heart breaks my heart) Produced By: Mr Simon M&M: Mr Simon Co-Writer: Mirror & Ray Visual Art: GratiusFX Photographer: Shaylula

Swipe Gestures On Overlay