Channel: Maua Sama
Category: Music
Tags: shushawivu aslaywivu songs with lyricsmaua sama music videosmaya sama ft aslay wivuwivu maua samawivu music videomagufulisukaritanasha donna diamond platnumzsimbawivu song maua samaharmonizeparty songskajalawivu latest songwivumaua sama ft aslay wivurayvannytanasha donnacovid19wivu video songmaua sama latest songsmaua sama songs 2020diamond platnumzzuchualikibamanaramaua sama wivumaua sama wivu lyricsmaua sama ft aslay
Description: Song: Wivu Artists: Maua sama ft Aslay #MauaSama #Wivu #Aslay #Mziiki Follow Maua Sama: instagram.com/mauasama twitter.com/MauaSama facebook.com/MauaSamaOfficial Maua Sama Bookings Info: mauasamalive@gmail.com | maua@mauasama.co.tz Cell/WhatsApp +255677775566 Song Lyrics: Aslay: Vimambo vyangu natupa kule Sinegen’geneki nikafa bure Kwako ni mfu msukule Kwa baby yake piga kelele Maua Sama: Mi hali yangu mbona shwari baby wee Niko jikon nasonga ugali Uje ule baba we Aslay: Roho yangu safi Mungu kanipa Ninachotaka kwa wakati na,Enjoy Sitaki kuwa Mswati nimeridhika Michepuko na Mwendokasi bye bye Maua Sama: Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam Chorus: Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2 Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana Maua Sama: Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani, Uwe na Mimi tu ndani / uwe na mimi mwandani aii wewe Nshakolea penzi me nipo mahabani Sipingi sibishani we ndo wakwangu Mimi nielewee Aslay: Uzuri hutaki pochi, hutaki noti Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti Benzema Mess pasi kwa pasi mi Na wewe Maua Sama: Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam Chorus: Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2 Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana