Channel: Rick Media
Category: Entertainment
Tags: balaa la harmonizewema sepetuwasafiwasafi tvwasafi mediamajaliwa mwanzavideoharmonize amjibudiamond amjibualichosemakonde gangharmonizemajaliwawcbtanashakimenukafull videokwangwaruzaridiamond na tanashahamisa mobettowaziri mkuubalaa la diamondrais magufulidiamond platnumzwaziri mkuu kasim majaliwa
Description: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo May 09,2022 amefanya ziara kwenye bohari Kuu ya MSD Dar es Salaam na kukagua Kiwanda cha Barakoa na Dawa mbalimbali. Kwenye ziara yake Majaliwa ametoa maagizo mbalimbali yakiwemo kuchukuliwa hatua za kisheria wale wote waliohusika kwenye ubadhilifu wa fedha za serikali ambao umejulikana kupitia ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali. ........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website rickmediatz.com ----------------------------------------------------------------------------------- #WaziriMkuu #KasimMajaliwa