Channel: Ebru TV Kenya
Category: Entertainment
Tags: okaebru newseacuda nominationsmarsabitrutocitizen tv kenyakalonzokilifiebru tvkenyantv kenyadp rutotim wanyonyikenya newskcsethikamombasa kenyakilifi landsnatowatch live citizen tvktn kenyacitizencitizen tv liveriggingdrugsmutahi kagweskatingngilunairobijubileedaily nationazimioodm gearmartha karuaudanyerikibakiktn news kenyaodmpolitical partiesrailauhuru kenyattawestlandsomanyala
Description: Kanisa La Kikatoliki Limewasihi Wapiga Kura Na Wanasiasa Kuhakikisha Kuwa Usalama Unadumu Kabla Na Baada Ya Uchaguzi Mkuu Wa Agosti 9.Uongozi Huo Wa Kanisa Umeahidi Kushirikiana Na Wanahabari Kueneza Amani Na Utangamano Miongoni Mwa Jamii Mbali Mbali Humu Nchini Ili Kuepuka Uhasama Unaoshuhudiwa Baada Ya Uchaguzi.Wawakilishi Wa Vyombo Vya Habari Kupitia Kenya Editors Guild Vile Vile Wameapa Kutumia Vitengo Mabli Mbali Vikiwemo Radio,Runinga Na Gazeti Kuelimisha Umma Kuhusu Uhasama Ambao Hutokea Mara Kwa Mara Kabla Na Baada Ya Uchaguzi