Channel: Nadia Mukami #AfricanPopStar
Category: Music
Tags: nadiakenya rnbafricamusichot musictop femaleeast africatop musichot femalekenyangomma
Description: Nadia Mukami also referred to as the AfricanPopStar introduces to you her new artist under her management constable, Sevens Creative Hub. The artist, Latinoh aka the King of Love is a 22 year old sensational Afro- Zouk vocalist, songwriter, poet, performer who hails from Likoni, Mombasa, Kenya. Executive Producer: Sevens Creative Hub. Audio Produced by: Sav Beats in Sevens Creative Hub Studios. Written & Performed by: Nadia Mukami & Latinoh Video by: Jijo Drumbeats. For Bookings contact: 0110020395 Email: nadiamukamibookings@gmail.com / booklatinoh@sevenscreativehub.com ALL COPYRIGHTS RESERVED WHETHER IN LYRICS, VISUALS. PERFORMANCE OR VOICE. SIWEZI LYRICS: ( Nadia Verse) Latinoooh Nadia! Hali mbaya, nyumbani mwenzenu chakula hakuna Na si hekaya kuna muda natamani kurudi kwetu Umenioa unitese, eti kisa kupendwa sana Imenizidi mipaka, marafiki wananicheka sana Nimevumilia sana, kama maji mwenzako yamenizidi kina Mapenzi bila pesa hapana nimechoka naenda…. CHORUS: We vumilia tu(siwez) Eeh eeh(siwez) We vumilia tu(siwez) Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe(siwez) Eeh eeeh eeeiyee(siwez) We vumilia tuh(siwez) Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe Usijali riziki mafungu kila mtu ana lake, Tumetoka mbali safari bado kidogo baby tufike, Siri zetu zibakie ndani, Usiwape faida majirani, Hata mimi natamani, Upendeze uvimbe mitaani, Usinikimbie eeh eeh , Ukiondoka mwenzako nitabaki na nani, Nihurumie eeh eeh, Baada ya dhiki faraja yetu ipo njiani, We vumilia tu(siwez) Eeh eeh(siwez) We vumilia tu(siwez) Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe(siwez) Eeh eeeh eeeiyee(siwez) We vumilia tuh(siwez) Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe Nikipata nita kubuyia ndai, Vaccation dubai, Nguo kila design,(hee uko sure) Zara gucci na shanel, Photoshoot mumbai,(acha chocha) Nitaku treat ufurai, Nguo kila design,(eeeeh uko sure) Baby baby eeeeh We vumilia tu(siwez) Eeh eeh(siwez) We vumilia tu(siwez) Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe(siwez) Eeh eeeh eeeiyee(siwez) We vumilia tuh(siwez) Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe Siwez,siwezi,siwezi Siwezi,siwezi.