Channel: KBC Channel 1
Category: News & Politics
Tags: newskbc tv livesportskbc livepolitics in kenyakbm newskbc live streaming kenya nowathletics in kenyakbc kenyakenya politics todaykenya2022 politicsbreaking news kenyakenya newsnews kenyanews from kenyakbc 2021latest political news
Description: Kenya imenakili visa-18 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 baada ya sampuli-2,990 kupimwa katika muda wa saa 24 zilizopita. Kiwango cha maambukizi kwa sasa ni asilimia-0.6. Wizara ya afya imesema kuwa wagonjwa-13 wamepona kutokana na ugonjwa huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: t.ly/86BKN Follow us on Twitter: twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: facebook.com/kbcchannel1news Check our website: kbc.co.ke #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #Covid-19